DIAMOND NA JAYDEE WANG’ARA TUZO ZA AFRIMMA 2014

 

Diamond Platnumz akiwa ameshika Tuzo yake

Diamond Platnumz akizungumza machache baada ya kutwaa Tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika mashariki

Wasanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Lady Jaydee wameweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Tuzo za African Music Magazine Awards(AFRIMMA) baada ya kunyakua Tuzo mbili ikiwemo ya Msanii bora wa kiume  na wa kike kutoka Afrika Mashariki.

Tuzo hizo zilitolewa usiku wa Jumamosi(Julai 26) kwenye ukumbi wa Eisemann Center mjini Dalas nchini Marekani ikiwa ni katika vipengele 29 vilivyokuwa vikiwaniwa na wasanii mbalimbali kutoka barani Afrika wa miondoko ya Afrobeats, Assiko, Bongo Fleva, Genge, Decale, Funana, Highlife, Hiplife, Kwaito, Lingala na Soukos.

 

Hii ndio Orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA

Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)


Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)


Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)


*Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)


Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)


*Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)


Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)


Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)


Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)


Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)


Best African Group 2014- P-square (Nigeria)


Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)


Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)


Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)


Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)


Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)


Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)


Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)


Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)


Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)


Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)


Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)


Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)


Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)


Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)


Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)


Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia


Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka


Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s