SIKILIZA NGOMA YA ALIKIBA – MWANA

Ally KibaBaada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu, hatimaye nyota wa muziki wa Bongo Fleva, AliKiba 4 Real amewasapraizi mashabiki wake kwa kuachia nyimbo mbili kwa mpigo ambazo ni Mwana na Kimasomaso zote zikiwa zimepikwa ndani ya studio za Combination Sound chini ya Producer Man Walter.

 

 

Advertisements

42 thoughts on “SIKILIZA NGOMA YA ALIKIBA – MWANA

  1. Kama kawaida hakuna kama alikiba anajua sana ananifulaisha sana mnaosema alikiba hajui mnakosea sana kwanza hakuna mwenye sautikama alikiba anajua sana anajitahidi sana kwenye gem

  2. Mm Nina Moyo Wa That Kwa Mpenz Wangu Vairety Ninaye Mpenda Hapa Dunian No,one Like Vairety Ktk Dunia Nampenda Sana Utakapo Iona Commenty Yangu Jua Nakupenda Sana Mm Korinely Wa Dar Tzania

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s