MABAKI YA NDEGE YA ALGERIA YAPATIKANA MALI, ABIRIA WOTE 116 WAPOTEZA MAISHA

Air AlgerieMabaki ya ndege ya shirika la Air Algerie Flight AH5017 yamepatikana kaskani mwa Mali baada ya kuanguka katika eneo hilo na kuua abiria  116 .

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametangaza kuwa majeshi ya ufaransa yamefaulu kupata mabaki ya ndege lakini hawakuweza kuokoa nafsi hata moja.

 

Advertisements

3 thoughts on “MABAKI YA NDEGE YA ALGERIA YAPATIKANA MALI, ABIRIA WOTE 116 WAPOTEZA MAISHA

  1. bas kila alipangalomungu hakuna atakae pangua poleni sana wafiwa wote ,hakika kwake yeye sote tutalejea,,,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s