MWANAMKE ALIYEBADILI DINI SUDAN AKUTANA NA PAPA FRANCIS

PapaMwanamke raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia baada ya kuwa kwenye ubalozi wa Marekani mjini Khartoum kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Meriam Yahia Ibrahim Ishag na familia yake waliondoka na ndege ya serikali ya Italia wakiongozana na Waziri wa nchini Italia Lapo Pistelli.

 Baada ya kuwasili Italia bi Merian alikutana na Papa Francis ambaye alimsifu kwa kusimamia dini ya ukristu licha ya tishio la mauti.

Merian alikutana na papa katika makao yake rasmi ya Santa Marta iliyoko kwenye makao makuu ya kanisa Katoloki ya Vatican.

-bbc.co.uk

Advertisements

One thought on “MWANAMKE ALIYEBADILI DINI SUDAN AKUTANA NA PAPA FRANCIS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s