STRAIKA JAMES RODRIGUEZ ATUA MADRID KWA MKATABA WA MIAKA 6

James Rodriguez

James Rodriguez(Kulia) akikabidhiwa jezi nambari kumi na Rais wa klabu ya Madrid, Florentino Perez(Kushoto) katika la Dimba la Santiago Bernabeu

Straika wa Colombia, James Rodriguez ametua katika kikosi cha Real madrid akitokea  AS Monaco ya Ufaransa  kwa uhamisho wa pauni milioni 63 baada ya kusaini mkataba wa miaka 6 wa kuichezea miamba hiyo ya Hispania .

Rodriguez mwenye umri wa miaka 23  aliweza kuifungia timu yake ya Taifa jumla ya magoli 6 na kuibuka mfungaji bora wa mashindano ya kombe la Dunia 2014, amenukuliwa akisema anayofuraha ya kujiunga na Madrid.

Uhamisho wa Rodriguez unakuwa uhamisho wa tatu ghali katika historia ya Madrid, ukiacha ule wa Cristiano Ronaldo na Gareth Balle ambao  walisajilia kwa pauni milioni 80.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s