TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE NA TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI

 

Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samartha akiwania mpira na mchezaji wa msumbiji

Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samartha akiwania mpira na mchezaji wa msumbiji

Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, imeshindwa kutamba katika ardhi ya nyumbani  baada ya kukubali sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya timu ya Taifa ya Msumbiji maarufu kama The Mambas katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam katika mchezo wa kusaka tiketi ya kuwania kucheza mashindano ya mataifa ya Afrika Mwakani.

Msumbiji ndio waliokuwa wa kwanza kuzifumania nyavu za Stars kwa njia ya mkwaju wa penalti lakini mchezaji wa Azam Fc  Khamis Mcha ‘Vialli’ aliisawazishia na kisha kuiandikia Stars bao la pili kwa mkwaju wa penalti pia lakini safu ya ulinzi ya Stars ikaruhusu bao la kusawazisha kwa msumbiji katika dakika za majeruhi.

Mchezo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa wiki mbili baadae nchini Msumbiji, ambapo Stars italazimika kuhitaji ushindi wa aina yoyote ili iweza kusonga mbele.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s