T.I AMPA JIBU LA KISTAARABU MAYWHEATHER

 

T.I na Mkewe Tiny

T.I na mkewe Tiny

Tofauti na watu wengi walivyodhani kuhusiana na jibu ambalo angetoa  Rapa T.I baada ya bondia mkorofi, Floyd Money Maywheather kutamka hadharani kuchepuka na mkewe aitwaye Tiny. 

Maneno hayo hayakuonekana kumtibua T.I na badala yake amemjibu kwa ufupi, ”I hope he is enjoying himself. God bless him.” alisema T.I

Kwa upande wake Tiny  amekanusha vikali madai ya kuchepuka na bondia huyo asiye na rekodi ya kupigwa huku akisema huenda ikiwa ameamua kulipa kisasi baada ya kumpotezea kwenye Tuzo za BET.

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s