RAIS MWAI KIBAKI AZUSHIWA KIFO MTANDAONI

Mwai Kibaki

Mwai Kibaki

Ama kweli Duniani kuna mambo, Rais wa awamu ya Tatu wa Kenya, Mwai Kibaki, ameongeza idadi ya watu mashuhuri wa Kenya waliowahi kuzushiwa kifo baada ya Tovuti moja maarufu  nchini humo kusambaza taarifa za uzushi za kutokea kwa kifo chake na hatimaye habari hizo kuhamia kwenye mtandao wa Twitter.

Inaelezwa  ilianza kama utani  kwa madai kuwa Rais Mwai Kibaki amefariki Dunia nyumbani kwake eneo la Othaya baada ya kupatwa na shinikizo la juu la Damu hali iliyopelekea baadhi ya watu kuamini na kuanza kutuma salamu za pole kabla ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais kukanushwa vikali taarifa hizo

Hii sio mara ya kwanza kwa marais wa Kenya kuzushiwa vifo, kwani itakumbukwa miezi michache iliyopita  Rais wa awamu ya pili wa Kenya, Daniel Arap Moi nae alizushiwa kifo taarifa ambazo hazikuwa na ukweli wowote.

TwitterTwitsKifo KibakiUntitled

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s