JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAE WA PEKEE WA KIUME

Juliana Kanyomozi

Juliana Kanyomozi

Staa wa Usiendele mbali, Juliana Kanyomozi, amepatwa na pigo kubwa la kuondokewa na mtoto wake  wa pekee wa kiume aitwaye Keron aliyezaa na mzazi mwenzake, Amon Lukwago kabla ya kutengana.

Keron amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 11 kwenye hospitali ya Agha Khan iliyopo mjini Nairobi nchini Kenya baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa pumu kipindi akiwa shuleni.

Watu mbalimbali mashuhuri akiwemo jaji wenzake wa shindano la Tusker Project Fame, Ian Mbugua, Msanii wa Genge,Jaguar na Mtangazaji William Tuva wametoa salamu za pole kwa familia nzima ya mwanamuziki huyo nyota wa Uganda.

Juliana Kanyomozi akiwa na marehemu mtoto wake Keron

Juliana Kanyomozi akiwa na marehemu mtoto wake, Keron.

MzaziJaguarMbugua

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s