DMX AAMUA KUMRUDIA MUUMBA WAKE

DMX

DMX

Gwiji wa muziki wa kufokafoka kutoka mamtoni, Earl Simmons AKA DMX, amepost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook  akiwa anasoma maandiko ya kitabu kitakatifu(Biblia) na kisha kuweka ujumbe wa maneno ya Mungu.

”Bwana Mungu, mwokozi wangu, usihukumu mwenendo wangu  badale yake, chukua kilichomo ndani ya moyo wangu na ukiweke katika kichwa changu ”Malaika”. aliandika DMX. 

Hata hivyo DMX bado hajaweka wazi kama ameamua kumrudia Muumba wake na kuachana na anasa za Kidunia kufuatia misukosuko ya kuyumba kiuchumi na kuporomoka kwa soko la muziki wake kumkabili.

DMX akisoma maneno ya kitabu kitakafu cha Biblia

DMX akisoma maandiko ya kitabu kitakafu cha Mungu(Biblia)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s