MAYWHEATHER ATIBUA TENA HALI YA HEWA, AKIRI KUVUNJA AMRI YA SITA NA MKE WA RAPA T.I

Maywheather Vs TBondia mmarekani asiye na rekodi ya kupigwa hata pambano moja, Floyd Maywheather, ametibua tena hali ya hewa baada ya kukiri hadharani kuwahi kuvunja amri ya sita na mke wa Rapa T.I aitwaye Tiny.

Maywheather alitamka hayo  wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na pambano lake la maruduiano na Marcos Maidana Alhamisi iliyopita(Julai 17) na alipoulizwa vipi kuhusu T.I, alijibu “I was f**** his bitch. Money maker gonna make it do what it do, baby.”

Mwezi Mei mwaka huu, T.I na Maywheather waliripotiwa kufanyiana vurugu na kutoleana lugha chafu kwenye mgahawa wa Fatburger mjini Las Vegas baada ya Maywheather kudaiwa kuwa na mahusiano na Tiny licha ya yeye mwenyewe kukanusha habari hizo hapo awali.

Bado haijaweza kufahamika wazi kama kauli aliyotoa Maywheather inaukweli ndani yake ama ni kutafuta kiki kwa ajili ya pambano lake lijalo au huenda zikawa ni hasira baada ya kuliwa mikausho mikali na Tiny kwenye Red Carpet ya Tuzo za BET zilizofanyika mwezi mmoja uliopita.  

Tazama hapo chini kuona Video Fupi ya Maywheather akikiri waziwazi kuzini na mke wa mtu mbele ya waandishi wa habari

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s