VILIO VYATAWALA TENA MALAYSIA BAADA YA NDEGE YAO KULIPULIWA NA KUUA WATU WOTE

Picha ya mwisho iliyopigwa Ndege ya Malaysia MH17 ikitokea uwanja wa ndege wa Amsterdam masaa machache kabla ya kulipuliwa

Picha ya mwisho iliyopigwa Ndege ya Malaysia MH17 ikitokea uwanja wa ndege wa Amsterdam masaa machache kabla ya kulipuliwa

Jumuiya ya kimataifa imetaka uchunguzi waharaka ufanyike wa ndege ya Malaysia Airlines Flight MH17 iliyoanguka kwenye eneo la mapigano mashariki mwa Ukraine na kuua watu wote walioko ndani yake ambao ni abiria 283 na wafanyakazi 15 wa ndege.

Mataifa ya Dunia pia yametaka makundi yanayozozana mashariki mwa Ukraine kuketi na kujadili mkasa huo mbaya wa pili kuikumba Malaysia  kufuatia ndege yake nyingine  iliyokuwa na watu 239 iliyopotea  mwezi machi mwaka huu. 

Marekani imesema uchunguzi hauna budi kufanyika haraka iwezekanavyo ili ukweli ufahamike wakati kiongozi wa Malysia, bwana Najib Tun Razak ametaka uchunguzi huo usizuiliwe kwa namna yoyote ile.

Jeshi la Ukraine na waasi wanaoungwa mkono na Urusi wametupiana lawama za udunguaji wa ndege hiyo, tukio ambalo limeleta mshtuko mkubwa Dunia na waasi wameahidi kutoa ushirikiano katika uchunguzi wa mahali ilipoangukia ndege hiyo katika jimbo la Doneski mashariki mwa Ukraine karibu na mpaka wa Urusi.

Ukraine imesema inaushahidi wa mawasiliano ya waasi na Urusi  na kwamba wao ndio walioiangusha ndege hiyo huku Urusi ikisema ni lazima Ukraine iwajibike kwa kuzidisha mapigano katika eneo hilo

1405617176411_wps_16_Malaysian_Airlines_Plane_

Pasipoti za abiria waliokuwepo kwenye ndege ya Malaysia Airlines MH17

Pasipoti za abiria waliokuwepo kwenye ndege ya Malaysia Airlines MH17

article-2696161-1FBA9ADA00000578-869_964x640

Mabaki ya ndege ya Malysia MH17

Mabaki ya ndege ya Malysia MH17

article-2696161-1FBA53DF00000578-449_964x539

article-2696161-1FBAAB9000000578-205_964x637

Majonzi na vilio vyatawala Malaysia

Majonzi na vilio vyatawala Malaysia

article-2696161-1FBAC5FD00000578-693_964x635

Mmmoja wa watu waliopoteza ndugu zao

Mmmoja wa watu waliopoteza ndugu zao

Raia wa Malaysia wakiweka mashada ya maua

Raia wa Malaysia wakiweka mashada ya maua

article-2696161-1FBB213300000578-632_964x641 article-2696161-1FBB383700000578-27_964x643

Mfano wa Ramani ukionyesha jinsi ndege ya Malaysia ilivyolipuliwa

Mfano wa Ramani ukionyesha jinsi ndege ya Malaysia ilivyolipuliwa

 

Advertisements

One thought on “VILIO VYATAWALA TENA MALAYSIA BAADA YA NDEGE YAO KULIPULIWA NA KUUA WATU WOTE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s