BIFU KWISHNEI!!! CHRIS BROWN NA DRAKE NDANI YA BONGE MOJA LA KOMEDI

JokeIkiwa ni siku chache kupita tangu Chris Brown na Drake waonekane  wakiwa pamoja studio, wawili hao wameudhihirishia tena ulimwengu kuwa hawana tena bifu na kilichobaki ni kutengeneza mkwanja,  baada ya kuungana na kutengeneza komedi fupi wakishirikiana na mcheza kikapu Blake Griffin wa Los Angeles Clippers.

Katika video hiyo  fupi ya kichekesho, inamuonyesha Blake Griffin na Chris Brown wakijiandaa kumfanyia upasuaji Drake ikiwa ni sehemu ya utani wa kulipiza kisasi juu ya bifu lao la zamani na kisha kuonyeshwa kwa watu waliohudhuria Tuzo za ESPYS zilizofanyika juzi(Julai16) ambazo huandaliwa na kituo cha ESPN  katika kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri.  Itazame

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s