VIDEO : LUPITA NYONG’O ATOLEWA KIJASHO CHEMBAMBA NA COBRA

Muigizaji maarufu Raia wa Kenya na mshindi wa Tuzo ya Oscar, Lupita Nyong’o, alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuhitajika kupiga picha na nyoka jamii ya cobra wakati wa uchukuaji wa picha kwa ajili kukava jalida la Vogue tolea la mwezi juni.

Zoezi hilo lilionekana kumtoa kijasho chembamba staa huyo wa ”12 years a slave” mpaka kufikia hatua ya kukimbia  ingawa hapo baadae aliweza kukaza roho na kufanikiwa kupiga picha na nyoka huyo mwenye sumu kali bila tatizo lolote.  Tazama ilivyokuwa hapo chini

Lupita Nyong'o

Lupita Nyong’o na cobra katika picha ya pamoja

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s