TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2014

 

Dk.Charles E. MsondeKaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya kidato cha sita kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. 

 

Baraza la Mitihani la Tanzania katika kikao chake cha 100kilichofanyika tarehe 15 Julai, 2014 liliidhinisha kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) uliofanyika tarehe 05 – 21 Mei 2014.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2014 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 sawa na asilimia 97.66 wakati wavulana waliofaulu ni 26,825 sawa na asilimia 95.25Mwaka 2013 watahiniwa waliofaulu walikuwa ni 44,366 sawa na asilimia 87.85.

Ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata Watahiniwa waShule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja I – III wakiwemo wasichana 9,954 sawa na asilimia 90.59 na wavulana 20,271 sawa na asilimia 83.53.

Idadi ya watahiniwa waliopata Daraja la nne(4)/ Division IV ni 4,420 ambao ni sawa na asilimia 12.54 na waliopata Zero/ Division  (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014

Shule kumi(10) bora zilizoongoza kitaifa  

(1).Igowole

(DIV – I = 19, DIV – II = 10, DIV-III – IV na DIV – 0 = 0)

     (2).Feza Boys

(DIV – I = 36, DIV – II = 18,DIV – III = 6, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0)

(3).Kisimiri

(DIV – I = 34, DIV – II = 10, DIV – III = 18, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0)

(4).Iwawa

(DIV – I = 21, DIV – II = 16, DIV – III = 2, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0)

(5).Kibaha

(DIV – I = 82, DIV – II = 59, DIV – III = 18, DIV – IV = 2, DIV – 0 = 0)

      (6).Marian Girls

()DIV – I = 64, DIV – II = 52, DIV – III = 21, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0

(7).Nangwa

(DIV – I = 45, DIV – II = 41, DIV – III – 11, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0)

(8).Uwata

(DIV – I = 14, DIV – II = 10, DIV – III = 5, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0)

(9).Kibondo

DIV – I = 27, DIV – II = 26, DIV – III = 9, DIV – IV = 0, DIV – 0 = 0

(10).Kawawa

DIV – I = 23, DIV – II = 16, DIV – III = 8, DIV – IV = 10, DIV – 0 = 0

 

 

 

 

 

Advertisements

6 thoughts on “TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2014

  1. Je nilikuwa nataka kujua et wanafunzi waliofaulu kidato cha nne .huwa wanapangiwa na serikali shule kwa kutumia vigezo gan .tafadhal naomba mnifahamishe.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s