PICHA ZA MAPOKEZI YA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI MJINI BERLIN

article-2692598-1FA853D100000578-257_964x594Mabingwa wa kombe la Dunia mwaka 2014, timu ya Taifa ya Ujerumani imepata mapokezi ya nguvu kutoka kwa  mashabiki takribani 400,000 mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Berlin Tegel uliopo katika mji mkuu wa nchi hiyo wakitokea nchini Brazil.

Misururu ya mashabiki na wapenzi wa soka walionekana wakiwa wamejipanga mistari katika mitaa ya jiji la Berlin huku wakiwakaribishwa kwa shangwe mashujaa wao waliokuwa wamepanda kwenye lori kubwa.

Hii ni mara ya nne kwa Ujerumani kunyakua kombe la Dunia huku mara ya kwanza ikiwa ni mwaka 1954, 1974, 1990 na mwaka huu chini ya kocha mkuu Joachim Lows.

article-2692598-1FA85AFA00000578-331_964x637 article-2692598-1FA85C9300000578-948_964x560   article-2692598-1FA865FD00000578-640_964x1442 article-2692598-1FA868C700000578-691_964x702 article-2692598-1FA870E200000578-794_964x632 article-2692598-1FA8507100000578-507_964x698 article-2692598-1FA8534300000578-762_964x642 article-2692598-1FA8701400000578-673_964x646article-2692598-1FA790D400000578-917_964x641

article-2692598-1FA8A3FD00000578-372_964x660article-2692598-1FA8A58B00000578-196_964x676article-2692598-1FA8A46800000578-893_964x618article-2692598-1FA8AA5700000578-134_964x628article-2692598-1FA84EB500000578-456_964x674

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s