CHRIS BROWN AIBUKA NA MTINDO MPYA WA NYWELE

Baada ya kumwagana na laaziz wake na kumaliza bifu na Drake, msanii nyota wa muziki wa R&B Duniani, Chris Brown, ameamua kuja na mtindo mpya wa nywele uliowahi kubamba enzi za vita kuu ya pili ya Dunia.

Mkali huyo wa kibao cha Loyal alitumia ukurasa wake wa Instagram kuwaonyesha mashabiki  staili mpya ya nywele zake.Taking it back to the 30s! Lol! aliandika Chris Brown.

Mtindo huo wa nywele umeonekana  kuwabamba mastaa wengi, kwani ukimtoa Chris Brow, Staa mwingine ni Adrian Marcel. Mcheki hapo chini.

Chris Brown na mtindo mpya wa nywele

Chris Brown ndani ya muonekano  mpya wa nywele

Mwanamuziki Adrian Marcel akiwa na mtindo wa nywele kama wa Chris Brown

Mwanamuziki Adrian Marcel akiwa na mtindo wa nywele kama wa Chris Brown

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s