ATUMIA DOLA 30,000 KATIKA UPASUAJI ILI AFANANE NA KIM KARDASHIAN

Kim Kardashian

Kim Kardashian

Mwanamke mmoja  Raia wa Uingereza, Claire Leeson, ametumia takribani dola za kimarekani 30,000 ambazo ni sawa na milioni 48 za kibongo kujibadilisha sura na umbo lake ili afanane na mwanamitindo Kim Kardashian baada ya kugundua kuwa wanavitu vingi wanavyofanania.

Leeson mwenye miaka 24 amesema kuwa ametumia kiasi hicho cha pesa katika kubadili maziwa yake, nywele, vipodozi na aina ya mavazi ili aweze kuwa na muonekano kama wa Kim na kuongezea kuwa yupo mbioni kufanyia upasuaji makalio yake kutokana na  kutokuwa makubwa kama ya kim.

”Nilitaka maziwa yangu yaongezwe na kulingana na picha(Ya Kim) nilimuelezea daktari wangu anayenifanyia upasuaji kwamba nilitaka kuonekana kama vile alivyo, kusema kweli ni mzuri na nilitamana kuwa kama yeye” Leeson aliwaambia watangazaji wa kipindi cha ”This Morningwa kituo cha ITV wakati alipofanyiwa mahojiano.  ”Pia navaa nguo  zinazonifanya nionekane mwenye makalio makubwa”.

Mtazame hapo chini alafu utupe maoni yako kama kweli amefanana na Kim au Lah

Mrembo Claire Leeson baada ya kubadili muonekano wake na kuwa kama wa Kim

Mrembo Claire Leeson baada ya kubadili muonekano wake na kuwa kama wa Kim

 Claire Leeson

Claire Leeson katika pozi

 

Claire Leeson

 Hapo Je??

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s