VERA SIDIKA ATUPA KARATA YAKE BIG BROTHER AFRICA

Vera Sidika

Vera Sidika

Mwanadafada  toka nchini Kenya aliyejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni hasa kutokana na umbo lake, Vera Sidika, ametajwa kuwa miongoni mwa wakenya walioshiriki  zoezi la usaili la kuwania nafasi ya kwenda  kushiriki shindano la Big Brother nchini Afrika Kusini.

Shindanola Big Brother linatarajiwa kuanza rasmi mapema mwezi septemba mwaka huu mjini Johannesburg huku ukiwa ni msimu wake wa tisa tangu kuanzishwa kwake.

Hivi karibuni Vera Sidika alitangaza ujio wa programu yake itakayopatikana kwenye simu za Android itakayowawezesha mashabiki wake kupata taarifa zinazomuhusu na picha zake za utamu.

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “VERA SIDIKA ATUPA KARATA YAKE BIG BROTHER AFRICA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s