T.I.D MNYAMA AJIFUA NA MAZOEZI MAKALI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa hapa nchini, Khaleed Mohamed  AKA ”T.I.D MNYAMA”, ametupia picha kadhaa kwenye akaunti zake rasmi za mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Facebook akionekana akijifua na mazoezi makali ikiwa ni katika  kuujenga na kuuweka mwili fiti.  Fanya kumtazama mnyama hapo chini uone jinsi mazoezi yalivyomkubali.

Gym Tid Mnyama TID Untitled

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s