LIL KIM AONYESHA PICHA ZA KICHANGA CHAKE KWA MARA YA KWANZA

Rapa nguli wa kike mzaliwa wa Brooklyn nchini Marekani, Kimberly Denise Jones ”Lil Kim” ameonyesha kwa mara ya kwanza picha za mtoto wake wa kike aitwae Royal Reign aliyezaa na mpenzi wake Mr.Papers mapema mwezi juni mwaka huu.

Lil Kim ambaye ametimiza umri wa miaka 40, Julai 11,  alishereke siku yake ya kuzaliwa kwa kuwaonyesha mashabiki  picha za kichanga chake kupitia ukurasa wake wa Instagram. 

Royal Reign

Pichani ni mtoto wa Lil Kim, ‘Royal Reign’.

  ReignKim Daughter

Lil Kim na Mr.Paper

Lil Kim na Baba watoto wake Mr.Paper

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s