DNA ABADILI JINA, SASA KUITWA ”BWANA DNA”

Bwana DNA

Bwana DNA

Baada ya kuondoka Grandpa Record mwezi mmoja uliopita, hitmaker wa Banjuka tu!, Muruthi Kaggia AKA  DNA ameamua kubadili jina lake hilo la kisanii na kuanzia  sasa atajulikana kama ”Bwana DNA”

”Unapotafuta DNA kwenye Google, huwa yanakuja matokeo mengi tofauti”, alisema DNA na kuongezea ”nimeamua kujumuisha ”BWANA ili kuwa la kipekee zaidi.

Pia amesema yuko mbioni  kurekodi ngoma mpya na wanamuziki mbalimbali wa nyumbani na wa nje ya bara la Afrika ikiwa ni katika kuupeleka muziki wake katika levo za kimataifa zaidi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s