UJERUMANI MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2014, WAINYUKA BAO 1 – 0 ARGENTINA

Germany's defender and captain Philipp LTimu ya Taifa ya Ujerumani imetwaa kombe la Dunia baada ya kuichapa bao 1 – 0  Argentina  katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye uwanja wa Maracana mjini Rio De Jenairo nchini Brazil jana jumapili.

Kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich, Mario Gotze, aliweza kuipatia timu yake ya Ujerumani bao pekee na la ushindi mnamo dakika ya 116 huku ikiwa ni  mara ya nne kutwaa kombe hilo tangu mara ya mwisho ichukue mwaka 1990 nchini Italia.

Straika wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionell Messi ameweza kuibuka mchezaji bora wa michuano hiyo wakati kipa wa Ujerumani, Manuel Neuer akipata Tuzo ya kipa bora na kwa upande wa mfungaji bora ikienda kwa kinda wa Colombia, James Rodriguez aliyetupia wavuni jumla ya mabao sita.

article-2690694-1F9EBF4C00000578-109_634x341

Mchezaji wa Argentina, Higuan akishangilia bao ambalo hapo baadae lilikataliwa baada ya kuonekana ameotea

article-2690694-1F9F5AFA00000578-432_634x367Mario Gotze  akishangilia bao la pekee alilofunga lililoipa Ujerumani ubingwa

Umiza Kichwa article-2690694-1F9F894000000578-157_634x651Mchezaji wa Andy Schurrle wa Ujerumani akipongezwa na mchumba wake Montana Yorke

BekhamDavid  Bekham akiwa na watoto wake wakishuhudia mechi ya fainali

Mwanamuziki Rihanna alikuwepo mjini Rio De Janeiro akiwa ameshikilia jezi ya ujerumani akishangilia ushindi

Mwanamuziki Rihanna alikuwa miongoni mwa mashabiki walioshuhudia mtanange wa fainali mjini Rio De Janeiro  nchini Brazil

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s