PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA PROFESSOR JAY ”KIPI SIJASIKA”

IMG_0196Zoezi la utengenezaji wa video mpya ya wimbo wa Professor Jay unaoitwa kipi sijasikia aliomshirikisha Diamond limeanza rasmi  wikiendi iliyopita chini ya kampuni ya Next Level inayomilikiwa na dairekta Adam Juma.

Video hiyo pia  imewashirikisha mastaa wengine kibao kama vile muigizaji wa filamu, Kulwa Kikumba ”Dude”, Diamond Platnumz, Producer  P-Funky Majani, DJ Choka na wengine kibao. Tazama hapo chini uone mambo yalivyokuwa

IMG_0458 IMG_0498 IMG_0452 IMG_0441 IMG_0438 IMG_0405 IMG_0413 IMG_0410 IMG_0384 IMG_0385 IMG_0434 IMG_0435 IMG_0396 IMG_0381 IMG_0382 IMG_0379 IMG_0365 IMG_0357 IMG_0351 IMG_0341 IMG_0317 IMG_0318 IMG_0327 IMG_0331 IMG_0339 IMG_0244 IMG_0266 IMG_0307 IMG_0311 IMG_0310 IMG_0217 IMG_0232 IMG_0203  IMG_0133 IMG_0127

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s