PICHA ZA UJIO WA MASUPA STAA WA MAREKANI, IKIWA NI AHADI YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA WASANII

Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga ardhi ya Tanzania July 10 2014. 

Hii imekua ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliyoiahidi Dodoma kwenye kampeni ya Tanzania Naiaminia kuleta wadau wa muziki na filamu wanaotambulika kidunia kwa nia ya kubadilishana mawazo na wadau wa muziki Tanzania.

 Terrence J mchana wa leo July 12 alikutana na mashabiki wake kwenye duka la A Novel Idea lililopo Slipway Msasani ambapo alikua akigawa bure kitabu cheke cha “The Wealth Of My Mother’s Wisdom”kama Clinic kwa watu 100 wa kwanza.

Vitabu hivyo viliwekwa saini ya yeye mwenyewen Terrence J,usiku wa July 12 wafatiliaji wa filamu zake usiku huu walikuwa nae kwenye red carpet ya mlimani City na baadae kwa pamoja nae wakashuhudia filamu yake ya ‘Think Like A Man Too’ . Tazama hapo chini uone kilichojiri.

A

Terrence J akizungumza na waandishi

 

A_1Meneja wa Ludacris, Chaka Zulu

A1Kutoka kushoto ni Chaka Zulu, David Banner, Terrence J na Ravi

A2

David Banner

Ravi

Ravi

A4Mtangazaji wa Channel Ten, TeeJay akimhoji Terrence J

A5Mchumba wa Terrence J, Nicole.

Mtangazaji wa Clouds Fm, Shadee akimhoji Terrence kwenye Red Carpet ya Think Like a Man ndani ya ukumbiwa Mlimani City

Mtangazaji wa Clouds Fm, Shadee akimhoji Terrence kwenye Red Carpet ya Think Like a Man ndani ya ukumbiwa Mlimani City

A7 A8 A9 A10 A11 A12 A13 A14 A15 A16 A17 A18 A19 A20 A21

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s