PENNY ACHUMBIWA KIMYA KIMYA, AONESHA PETE YA UCHUMBA

Mtangazaji wa 93.7 EFM Radio, Penny Mungilwa , ameposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na  pete inayosemekana amevishwa na mchumba wake mpya siku za hivi karibuni, ingawa bado yeye mwenyewe hajaweka wazi kuhusiana na jambo hilo.

Penny

 Pichani ni mkono wa Penny ukiwa umeshikilia usukani wa gari huku ukiwa na pete 

Picha nyingine Penny akionyesha pete yake laivu pasipo na kupepesa

A picture is worth a thousand words

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s