PICHA : DIAMOND PLATNUMZ APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR

ChibuUsiku wa jana(Julai 10), Diamond Platnumz amethibitisha msemo usemao “Hakuna Mahala kama Nyumbani”   baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere akitokea nchini marekani katika ziara ya kimuziki na kukutana na sapraiz baab kubwa toka kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki  waliojitokeza kwa wingi uwanjani hapo kumpokea huku wakiwa wamebeba  mabango yakiwa na ujumbe wa kumkaribisha nyumbani. Tazama picha zaidi hapo chini

Mapokezi ya DiamondMashabiki wakiwa kwenye viunga vya uwanja wa ndege na mabango yao wakimsubiria Diamond

Mashabiki NaoDiamond JNIAMabangoDiamond Is Our HeroWe Love UMashabiki na MabangostMashabiki wa Diamond wakiwa na kiu ya kumuona shujaa wao

Hapa akihojiwaDiamond akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kutua  jijini Dar es salaam

Wema DangoteWema akiongoza msafari wa mashabiki kuelekea kumpokea Laaziz wake

DiamondEti! Nani amenuna?? Diamond na Wema wakisalimia kwa bashasha

Dangote    Diawema      Platnumz    Wema na EsmaWema na Wifi yake

Untitled

Diamond akisindikizwa na mashabiki kuelekea kwenye mkoko wake

 

 

Advertisements

3 thoughts on “PICHA : DIAMOND PLATNUMZ APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s