CHRIS BROWN NA DRAKE WAZIKA BIFU LAO, WAINGIA STUDIO KUFANYA NGOMA

CB & DrizzyWagombanao ndio wapatanao, hatimaye Chris Brown na Drake wamezika mazima bifu lao na kuamua kuingia studio kufanya ngoma ikiwa ni miaka miwili kupita tangu kutokea kwa ugomvi baina yao ndani ya klabu ya usiku ya W.I.P mjini New York na kumsababishia majeraha hitmaker huyo wa Loyal na baunsa wake kwa kile kilichodaiwa kuwa ni  mwanadada Rihanna.

Picha za Mastaa hao wakiwa pamoja studio zilianza kuzagaa mitandaoni usiku wa Julai 10, kitendo kilochotafsiriwa kuwa hakuna  tena bifu kati yao  huku uvumi wa kwenye mitandao ukieleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Drake akashiriki kwenye albamu  ya nne  ya Chriss Brown  inayoitwa ”X”.

Chris Brown na Drake wakiwa Studio

Chris Brown na Drake wakiwa Studio

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s