RAY C AMJIBU T.I.D MNYAMA, AMSHUKURU KWA MATUSI YAKE

TiD Na Ray CGwiji wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ”Ray C” amemjibu msanii mwenzake, TID Mnyama kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kutolewa lugha chafu na hitmaker huyo wa Zeze wakati akijaribu kumuomba wazungumze wiki chache zilizopita.

 ”Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa” aliandika Ray C.

 

 

 

Advertisements

2 thoughts on “RAY C AMJIBU T.I.D MNYAMA, AMSHUKURU KWA MATUSI YAKE

  1. ray c dada watanzania 2nashukur kwa kuendelea vzr mm km mm nimeamn kuw sio kil jmb unalofikiria ni kwel xo tid akujua unatak kumwambia nn ila yeye kapank alaf nyie n wasanii mnavyogmbn mna2fundsh nn wanajamii mcw hvy jaman

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s