MEEK MILL NA WALE WAINGIA KATIKA BIFU ZITO

Meek Mill na Wale

Meek Mill na Wale

Marapa walioko chini ya lebo ya Maybach Music Group, Meek na Wale wameingia katika vita ya kurushiana maneno mitandaoni huku Meek Mill akimtuhumu Wale kumuonea wivu kwa kipindi kirefu na kutosapoti kazi zake za kimuziki ikiwemo ujio mpya wa albamu yake  ya ”Dream Worth More Than Money” na kisha kumuita Cornball.

”Wale hajawahi kutwiti kitu kuhusiana na albamu yangu.. amekuwa akinichukia kwa kipindi sasa…wala usinitumie message Cornball!! wewe haupo MMG ”UNOTMMG” aliandika Meek Mill kwenye ukurasa wake wa Twitter

Wale nae hakukaa kimya, bali alijibu mapigo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kudai kuwa amewahi kusapoti kazi za Meek mawiki kadhaa yaliyopita na hivyo hana jinsi zaidi ya kusonga mbele, kwani hata yeye kuna baadhi ya kazi zake za nyuma ambazo  hazikusapotiwa  na hakuongea chochote.

Unaweza ukasoma Twits nyingine  hapo chini alizoandika Meek Mill kwenda kwa Wale.

Meek Mill Tweets

Twits

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s