WATU 8 WAJERUHIWA KATIKA MLIPUKO JIJINI ARUSHA

Arusha Watu wanane wamejeruhiwa mmoja akiwa hali mahututi kufuatia mlipuko katika mgahawa mjini Arusha Tanzania.  Mlipuko huo ulitokea Jumatatu jioni na polisi wangali wanachunguza kilichousababisha.

Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, mlipuko huo ulitokea Jumatatu jioni na kuwajeruhi watu wanane huku mmoja akiwa hali mahututi.

Haijulikani kilichosababisha mlipuko huo.  Kufika sasa afisa mkuu wa shirika la ujasusi nchini humo anakutana na wandishi wa habari.

damu ArushaChanzo : bbc.co.uk

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s