PICHA NA VIDEO : DIAMOND AMSAPRAIZ MAMA YAKE MZAZI ZAWADI YA GARI

DiyamondKatika kuthamini mchango mkubwa wa mama yake mzazi, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemsapraiz mama yake zawadi ya gari aina ya Harrier Lexus katika siku yake ya kuzaliwa pamoja na kuachia video zake mbili kwa mpigo hapo jana(Julai 07).

Hata hivyo Diamond hakuweza kuhudhuria sherehe hiyo kutokana na kuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini Marekani lakini aliweza kuwakilishwa na mpenzi wake Wema Sepetu huku ikielezwa kuwa sherehe hiyo ilikwenda sambamba na mualiko wa futari uliandaliwa na familia ya Diamond ambapo baadhi ya mastaa waliweza kuhudhuria akiwemo Proffesor Jay, Sauda Mwilima, Aunty Ezekiel, Mkubwa Fella na mtangazaji wa Clouds Soudy Brown.

Wema Sepetu akikalangiza nyumbani kwa kina Diamond

Wema Sepetu akikalangiza nyumbani kwa kina Diamond

Aunty Ezekiel

Aunty Ezekiel akiandaa mpango mzima wa futari

Kamati ya mapishi iliyohusika kuandaa futari
Kamati ya mapishi iliyohusika kuandaa futari

Wema akiwa na mama na dada wa Diamond

Wema akiwa na mama mkwe wake

Wema Sepetu na Dada yake Diamond
Wema Sepetu na wifi yake Esma

Keki ya mama wa Diamond ikiwa imeandikwa ujumbe toka kwa mwanae

 ”Najua niko mbali ila siku zote nakupenda sana” ujumbe aliotuma Diamond kwa mama yake kupita keki

Birthday gal akijiandaa kukata keki
Birthday gal akijiandaa kukata keki

Mtangazaji wa Clouds Fm, Soudy Brown, akilishwa keki na mama mzazi wa Diamond

Mtangazaji wa Clouds Fm, Soudy Brown, akilishwa keki na mama mzazi wa Diamond

Image00002Mama Diamond akikata keki ake

Watu wakipata iftar

Watu wakipata iftar

Image00014 Image00016

Bodyguard wa Diamond akifanya yake

Bodyguard wa Diamond akifanya yake

Watu wakiwa wamezunguka gari alilopewa mama wa Diamond na mwanae

Watu wakiwa wamezunguka gari alilopewa mama wa Diamond na mwanae

Mama mzazi wa Diamond akijifuta machozi baada ya kukutana na sapraiz ya gari

 

Zawadi ya Gari aina ya Harrier Lexus alilopewa mama Diamond

Pichani ni  Gari aina ya Harrier Lexus alilopewa mama Diamond na mwanae kama zawadi

Mkubwa Fella, Sauda Mwilima na Prof Jay

Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima, Saidi Fella  na Professsor Jay baada ya kupata futari 

Sauda Mwilima akifanya mahojiano na Professor Jay
Sauda Mwilima akifanya mahojiano na Professor Jay

 

 

 

6 thoughts on “PICHA NA VIDEO : DIAMOND AMSAPRAIZ MAMA YAKE MZAZI ZAWADI YA GARI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s