DJOKOVIC ATWAA KOMBE LA WIMBLEDON, AMGALAGAZA ROGER FEDERER KWA SETI 3 -2

Djokovic akibusu kombe lake

Djokovic akibusu kombe lake

Mchezaji nyota wa mchezo wa tenesi, Novak Djokovic, ameendelea kukamata nafasi ya kwanza katika chati ya wachezaji bora wa mchezo huo zilizotolea hii leo na chama cha tenesi Duniani.

Djokovic ametetea nafasi yake hiyo baada ya kutoa taji la Wimbledon kwa kumshinda mchezaji mkongwe toka Uswisi Roger Federer kwa seti 3 – 2 katika mchezo wa fainali uliopigwa jijini London wikiendi iliyopita.

kwa upande wa wanawake, Petra Kvitova aliweza kunyakua kombe hilo kwa kumgalagaza mpinzani wake Eugenie Bouchard kwa seti 6 – 3, 6 – 0 katika mchezo uliochukua takribani dakika 60.

Djokovic na Federer wakipongezana baada ya mchezo wao kuisha

Djokovic na Federer wakipongezana baada ya  kumaliza mchezo

Hii ni mara ya pili kwa Djokovic  kutwaa taji hilo baada ya kuingia fainali  mara tano ya michuano hiyo huku ushindi huo ukichangiwa kwa kiasi kikubwa na kocha wake mpya Boris Becker  toka mwezi Desemba mwaka jana.

Pia unaweza kutazama hapo chini orodha ya viwango vya ubora vya wacheza tenesi Duniani iliyotolewa mwaka huu.

Wanaume

Ranks

Wanawake

Russia

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s