CIARA AJA NA MTINDO MPYA WA NYWELE

2013 MTV Video Music Awards - Red Carpet

Future na Ciara

Msanii wa R&B toka nchini Marekani, Ciara, amezidi kuonyesha mahaba niue kwa baba wa mtoto wake wa kiume, Rapa Future, baada ya kubadili mtindo wa nywele aliokuwa nao awali na kusuka rasta ”Dreadlocks” kama alizonazo mzazi mwenzie huyo.

Ciara hakuwa mchoyo kushea picha za muonekano wake mpya na followers wake kwenye ukurasa wa Instagram kama anavyoonekana hapo chini.

Ciara Obsession

Ciara akiwa na DreadLocks

Ciara ndani ya DreadLocks

 

Ciara CICI

Future

 Future

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s