CHRIS BROWN APIGANA CHINI NA MPENZI WAKE

Chris Brown na Karrueche Tran

Chris Brown na Karrueche Tran

Hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho, Hitmaker wa Loyal, Chris Brown ameripotiwa kupigana chini na mchumba wake wa muda mrefu, Karrueche Tran huku kila mmoja akifuta picha za mwenzake kwenye kurasa zao za mtandao wa Instagram.

Wawili hao ambao wamekuwa na kawaida ya kuachana na kisha kurudiana, bado hawajaweka  wazi  sababu za kuachana kwao huku mara ya mwisho kuonekana wakiwa pamoja ikitwaji kuwa ni ijumaa iliyopita.

”In the end, only three things matter : how much you loved, how gently you lived, and how gracefully you let go of things not meant for you” aliandika Karrueche kwenye Instagram

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s