KANYE WEST AFICHUA SIRI YAKE NA KIM KARDASHIAN

Kim & KanyeRapa Kanye West amefichua siri nzito iliyokuwepo baina yake na mkewe Kim Kardashian baada ya kutumia takribani dakika 20 kuwaelezea mashabiki waliohudhuria tamasha  la Wireless Festival lililofanyika ijumaa iliyopita mjini London Uingereza kuhusiana na mapenzi aliyokuwa nayo juu ya mrembo huyo yapata miaka kumi iliyopita.

 ”Nilimwambia Kim miaka saba iliyopita kwamba ningemuoa na nimeweza kutimiza ahadi hiyo” aliongezea ”Nilitaka kufanya kitu cha kipekee na kuwa cha kipekee na kibadili Dunia, hicho ndio hasa nilichopanga”. Kanye aliuambia umati wa watu uliofurika wakati akiperform jukwaani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s