RYAN GIGGS ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI NA CHUO KIKUU CHA BOLTON

GiggsGwiji wa Manchester United, Ryan Giggs, amejivunia shahada ya heshima ya udaktari wa sayansi wa chuo kikuu cha Bolton aliyotunukiwa jana kutokana na mchango wake mkubwa katika michezo.

Giggs ambaye amestaafu soka msimu uliopita na kuwa kocha, alitunukiwa heshima hiyo katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Victoria mjini Bolton nchini Uingereza.

‘’Congratulations on your achievements and hard work’ before quipping that was accustomed to a rather more frosty reaction from football supporters in Bolton alisema Giggs akiwapongeza wahitimu wa chuo hicho.

 

Ryan Giggs

Giggs akiwa na shahada yake ya udaktari alichotunukiwa na chuo kikuu cha Bolton

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s