PICHA : FRENCH MONTANA AANIKA NDINGA ZAKE ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI

French Montana 1Baada ya kuhustle kwa kipindi kirefu, Rapa mwenye asili ya Morocco,French Montana, amewaonyesha mashabiki  wake jinsi  muziki unavyomtendea haki, baada ya kuanika mikoko ya kifahari  anayomiliki kwa sasa.

Jalida la DubMagazine liliweza kupata nafasi ya kufanya mahojiano nae pamoja na kutembelea gereji  yake na kukuta ndinga za hatari anazomiliki staa huyo ikiwemo  2012 Rolls-Royce Ghost, 2013 Maserati GranTurismo, 2014 Rolls-Royce Wraith, 2014 Range Rover, 2013 Ferrari California na 2013 Audi A8L.

French Montana

French Montana akiwa amepozi pembeni ya ndinga lake aina ya Ferrari California tolea la mwaka 2013

Rari

2013 Ferrari California

Audi

2013 Audi A8L

RR

2012 Rolls-Royce Ghost

Range Auto 2014

2014 Range Rover

Montana akiwa juu ya pikipiki ya miguu mitatu anayomiliki

Montana akiwa juu ya pikipiki ya miguu mitatu anayomiliki

 

Hunna whips and they be foreign

Hunna whips and they be foreign

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s