ALICHOSEMA STRAIKA WA BRAZIL ‘NEYMAR’ BAADA YA KUUMIA

Straika wa Brazil Neymar Jr akishangilia baada ya kutupia wavuni goli la kwanza

Neymar Jr

”Wachezaji wenzangu watafanya kila liwezekanalo ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa bingwa” hayo ni maneno mazito aliyosemaNyota wa timu ya Taifa ya Brazil, Neymar Jr akiamini  kuwa timu yake itashinda kombe hili la Dunia pamoja na kwamba yeye hatocheza mechi zote zilizobaki.

Straika huyo wa Barcelona aliaga mashindano hayo juzi usiku baada ya kucheezewa rafu mbaya na mchezaji wa Colombia Juan Zuniga.  Straika huyo ameelezea maumivu yake baada ya pigo hilo lililomuondoa kombe la Dunia mapema, akiiacha timu yake ikitinga nusu fainali na zaidi amewatakia kheri wachezaji wenzie wabakize kombe hilo nyumbani

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s