UBONGE NYANYA WAMNYEMELEA KOBE BRYANT

Kobe Bryant

Kobe Bryant

Picha mbili zilizozagaa mitandaoni zinazomuonyesha mcheza kikapu wa timu ya Los Angels Lakers, Kobe Bryant akiwa ameongezeka uzito sambamba na kuota kitambi , zimewashtua mashabiki na wapenzi wengi wa mchezo huo huku wengi wao wakijiuliza kama ataweza kurudi tena dimbani katika msimu ujao wa NBA akiwa katika umbo hilo.

Awali nyota huyo aliyekuwa na umbo la wastani, alipigwa picha hizo hivi karibuni  wakati  akiwa mapumzikoni na familia yake, ingawa bado haijaweza kufahamika wazi kama ni kweli ameongezeka kilo au picha hizo zilipigwa vibaya.

Kobe Bryant

Muonekana mpya wa Kobe Bryant uliozua utata

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s