HATIMAYE!!!! WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA XXL WAFUNGUKIA ISHU YAO YA KUCHAPANA MAKONDE LAIVU STUDIO

Watangazaji wa Kipindi cha XXL

Watangazaji wa Kipindi cha XXL, Hamis Mandi ”Bdozen”, Dj Fetty na Adam Mchomvu

Tukio la kurushiana makonde studio lililofanywa na watangazaji wa kipindi cha XXL kinachorushwa hewani na Clouds Fm kimetajwa kuwa ni kampeni iliyopewa jina la ‘Paza Sauti’ ya kuwaaminisha watanzania jinsi gani ujumbe unaweza kusambaa kama wataweza kuongea na kutoa taarifa.

Itakumbukwa kuwa mnamo Julai 02 mwaka huu, watangazaji wa kipindi hicho  ambao ni Bdozen, Dj Fetty pamoja na Adam Mchomvu waliwashangaza wasikilizaji baada ya  kuanza kurushiana maneno wakati wako hewani hali iliyopelekea waingie kwenye ugomvi.

Kwanza sorry sana Kama lile tukio la juzi kama lilikuzingua. Tuliifanya maksudi (prank)…..Ni tukio lililosambaa ktk Muda mfupi na Karibu Kila mtu alipata taarifa…..ukweli ni kuwa matukio meeeengi mtaani yanaendelea lakini watu wanayapigia kimya sababu unahisi halikuhusu sababu muhusika Si ndugu wala rafiki…Mpango ni kupaza sauti na kuyafikisha kwenye vyombo vya usalama matukio yote yanayosababisha amani ivunjike. #PazaSautiUkimyaHausaidii”  aliandika Bdozen kwenye ukurasa wake wa Instagram

 

XXL Clouds Fm

…Baada ya vuramai kutokea

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s