OBAMA AMSHAURI KIPA WA MAREKANI ‘TIM HOWARD’ KUNYOA NDEVU ZAKE

ObamaRais wa Marekani, Barack Obama, amewapigia simu na kuwapongeza wachezaji  wa timu ya taifa ya Marekania akiwemo kipa wa timu hiyo, Tim Howard pamoja na Clint Dempsey baada ya kutolewa kiume kwenye fainali za kombe la Dunia na timu ya Ubelgiji.

Wakati wa mazungumzo yao, Obama aliwafagilia kwa jinsi walivyopambana kwa moyo mmoja kwa  ajili ya Taifa lao na kuwakumbushia enzi zake alipokuwa akisakata kabumbu sambamba na kumpa ushauri ‘Timmy’ wa kuondoa ndevu zake. 

”Nadhani unatakiwa kwenda kunyoa ndevu zako” alisema Barack Obama. Tazama  Hapo chini uone ilivyokuwa.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s