MYA ARUKA KIMANGA KUCHEPUKA NA RAPA JAY Z

 

Jay Z, Mya, BeyonceNdoa ya Jay Z na Beyonce bado imeendelea kuandamwa na upepo mbaya baada ya hivi karibuni diva wa miondoko ya R&B, Mya, kutajwa kuwa miongoni mwa vimada wanaochepuka na rapa huyo mzaliwa wa Brooklyn nchini  Marekani.

Hata hivyo, tetesi hizo zilikanushwa vikali na mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 34 kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akivitupia lawama vyombo vya habari.

”Never did, never was, never will.  Illegitimate , thirsty sources with no facts and that’s the ”media” for you – especially today. I play second to no one, pay my own bills, have my own label, own management company, rely on God only and respect myself & marriage way too much fo nonsese. aliandika Mya

Hii sio mara ya kwanza kwa Jay Z kushutmiwa kuisaliti ndoa yake hali iliyompelekea achezee makofi ndani ya lifti miezi miwili iliyopita toka kwa shemeji yake Solange huku chanzo kikitajwa kuwa ni mrembo Rachel Roy.

Drama hazikuishia hapo, kwani hivi karibuni Beyonce aliwaacha vinywa wazi mashabiki waliohudhuria ziara yake ya ”On The Run” baada ya kubadili mashairi ya wimbo wake wa ”Resentment” ambayo  yalionekana kuthibitisha wazi shutma hizo za usaliti..


 

 

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “MYA ARUKA KIMANGA KUCHEPUKA NA RAPA JAY Z

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s