PICHA : D’BANJ NA BILIONEA ‘BILL GATES’ DAMU DAMU

D'Banj & Bill gates

D’Banj na Bill Gates

Mradi wa Do Agric umezidi kumpatia mashavu  hitmaker wa ”Fallin in Love”, D’Banj’ ikiwemo kumkutanisha na matajiri wakubwa Dunia ambao huenda isingekuwa rahisi kwake kuweza kukutana nao.

Ishu hiyo imejiri baada ya D’Banj atokelezee katika picha na bilionea nambari moja Dunia, Bill Gates na nyingine inayomuonyesha akiwa na bilionea wa Afrika mwenye asili ya Sudan Mo Ibrahim.

‘Inspiration New Song *BILL GATES KNOWS MY NAME* #DoesHeKnowYou? WhoDoYouKnow? #BILLGATES #DBANJ #DoAgric #ItPays” aliandika D’Banj Kwenye ukurasa wake wa Twitter  asubuhi ya leo.

Bono, Mo Ibrahim na D'Banj

Bono, Mo Ibrahim na D’Banj

 

 

 

 

 

 


 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s