STRAIKA WA URUGUAY ‘LUIS SUAREZ’ AMUOMBA MSAMAHA GIORGIO CHIELLINI

Luis SuarezMshambuliaji mtukutu wa Timu ya Taifa ya Uruguay pamoja na klabu ya Liverpool, Luis Suarez amemuomba radhi mchezaji wa timu ya Italia, Giorgio Chiellini aliyemng’ata meno wakati wa mpambano baina ya Italia na Uruguay kwenye fainali za kombe la Dunia nchini Brazil.

Tukio hilo limesababisha Suarez kufungiwa kucheza soka kwa miezi minne , faini na kutocheza  mechi tisa za kimataifa, hata hivyo Chiellini  alikaririwa akisema kuwa adhabu aliyopewa straika huyo wa Uruguay ni kubwa sana ukilinganisha na kosa alilofanya.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s