MEEK MILL AMPONGEZA DAVIDO KWA KUTWAA TUZO YA BET

Davido na Meek Mill wakifurahi jambo katika klabu ya usiku mjini Los Angels

  Meek Mill  na Davido

Rapa mzaliwa wa Piladelphia  ‘Meek Mill’ amempongeza msanii toka nchini Nigeria ‘Davido’ kwa kunyakua Tuzo ya BET katika kipengele cha Best Internation Act. 

Ishu hiyo inakuja ikiwa ni siku chache  tangu wawili hao waonekana wakila bata together  katika klabu moja ya usiku mjini Los Angels nchini marekani.

S/o 2 the homie IamDavido for winning the BET Best International Act Africa! aliandika Meek Mill kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi zaidi ya milioni 4 .

Davido

Davido akiwa na Tuzo yake ya BET

Davido

Davido akisiliza muziki kwa kutumia Headphone za 24k Monster ambazo ni bidhaa mpya za Meek Mill

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s