ANDREY MURRAY, BOUCHARD NA DJOKOVIC WATINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA WIMBLEDON

Andrey MurrayBingwa mtetezi wa michuano ya tenesi ya Wimbledon ‘Andrey Murray’ amembwaga Kevin Anderson na kutinga kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.  Murray amemshinda Anderson kwa seti 6 – 4, 6 – 3 na 7 – 6.

kwa upande wa wanawake, mbabe wa Serena Williams, mfaransa Alize Cornet alijikuta akitupwa nje ya  michuano hiyo  baada ya kupokea kichapo toka kwa  mpinzani wake Eugenie Bouchard aliyeshinda kwa seti 7 – 6, 7 – 5.

Nae mcheza Tenesi toka Serbia, Novak Djokovic alimalizia raundi ya tatu ya michuano hiyo kwa kumbwaga Jo-Wilfried Tsonga kwa jumla ya seti 6-3, 6-4, 7-6  na kufanikiwa kutinga katika hatua ya robo fainali

MurrayAndrey Murray akishangilia baada ya kumtupa nje ya michuano hiyo mpinzani wake Kevin Anderson 

BOUCHARDEugenie Bouchard akishangilia kumbwaga Alize Cornet DjokovicDjokovic akijipongeza ushindi aliopata dhidi ya TsongaSir Alex FergusonKocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson aakitazama mchezo kati ya Bouchard na Cornet

 

Advertisements

One thought on “ANDREY MURRAY, BOUCHARD NA DJOKOVIC WATINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA WIMBLEDON

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s