PICHA NA VIDEO : DIAMOND AKIWA NA MASTAA NYOTA WA MAREKANI KWENYE RED CARPET YA BET AWARDS 2014

Diamond Platnumz1Mshindi wa Tuzo saba za Kili na Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameonyesha uwezo wa hali ya juu wakati alipofanyiwa mahojiano mafupi na host wa Tuzo za BET, mwanadada Karrueche Tran ambaye ni mpenzi wa  mwanamuziki Chris Brown..

Katika mahojiano hayo, Diamond alielezea  furaha yake ya kuwa miongoni mwa wasanii wachache toka barani Afrika waliochaguliwa kuwani tuzo hizo  katika kipengele cha Best International Act pamoja na mambo mengine kibao

Mbali na kukosa Tuzo,  Diamond alifunika katika suala zima la muonekano hasa suti aliyokuwa amevaa,  pia aliweza kubadilishana mawili matatu na Hitmaker wa Dillema ‘Nelly’ pamoja na kupiga picha na mastaa kadhaa nyota  wa marekani.

Diamond & Faith Evans

Diamond na Faith Evans

Diamond BETDiamond akihojiwa na Karrueche Tran

Diamond  na mbunifu wa mavazi toka Tanzania 'Sheria Ngowi' aliyehusika na suala zima la kupendezesha kuanzia juu mpaka chini kama anavyoonekana

Diamond na mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi aliyehusika na suala zima la kubuni suti aliyovaa

Diamond Platnumz BETDiamond akihojiwa kabla ya sherehe za utoaji tuzo kuanza

....Hapa akifanyiwa mahojiano na waandishi wa jalida maarufu la XXL

….Hapa akifanyiwa mahojiano na waandishi wa jalida maarufu la XXL

Diamond akisalimiana na Ne-Yo

Diamond akisalimiana na Ne-Yo

Diamond akipita kwenye zulia jekundu la BET

Diamond akipita kwenye zulia jekundu la BET

Diamond Platnumz kwenye Red Carpet ya BET ndani ya Kadinda Pozi

Diamond Platnumz kwenye Red Carpet ya BET ndani ya Kadinda Pozi

Diamond Platnumz & NellyDiamond Platnumz akisalimia na Nelly

Nelly Na Diamond Diamond akipata ukodaki  na Nelly

 

13 thoughts on “PICHA NA VIDEO : DIAMOND AKIWA NA MASTAA NYOTA WA MAREKANI KWENYE RED CARPET YA BET AWARDS 2014

  1. Kaka nimekukubali yan we ninouma, na zidisha juhud ili maadui wazd kunyimika raah..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s