KICHUPA KIPYA : KALA JEREMIAH FT. NAY WA MITEGO X MO MUSIC – SIMU YA MWISHO [Official Video]

Simu ya Mwisho.Kala Jeremiah amempa maneno mazito mpenzi wake aliyemgharamia kwa kila hali lakini mwisho wa siku akaja kumuacha solemba, kisa hicho utakiona kupitia video mpya ya mkali huyo inayoitwa Simu ya Mwisho akiwa amemshirikisha Hitmaker wa Nakula ujana, Nay  Wa Mitengo pamoja na Mo Music.   Video imetengenezwa na D360 Videos chini ya muongozaji  Pablo, Chukua Dakika 4 na Sekunde 45 kuitazama hapo chini…

 

Advertisements

6 thoughts on “KICHUPA KIPYA : KALA JEREMIAH FT. NAY WA MITEGO X MO MUSIC – SIMU YA MWISHO [Official Video]

  1. Du.. wimbo ni mzr kupta kiasi,una maudhui yaktosha kwa watanzania wote,hasa wadada wanaochkuliwa toka vijjn,imewagsa sana,kwel wimbo nimeuelewa sana,bigup 2 all who make this song!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s