2014 BET AWARDS : PICHA ZA RED CARPET NA WASHINDI

Washindi wa Tuzo za Black Entertainment au maarufu kama BET Awards wamepatikana usiku wa jana kwenye ukumbi wa Nokia Theatre katika vipengele 23 vilivyokuwa vikiwania ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania iliweza kutoa mwakilishi pekee ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania Tuzo ya Best International Act : Afrika iliyochukuliwa na hitmaker wa Skelewu Davido  toka nchini Nigeria.  Watazame washindi na vipengele walivyokuwa wakiwania hapo chini: 

NEW ARTIST

August Alsina

GOSPEL ARTIST

Tamela Mann

ACTRESS

Lupita Nyong’o

MALE HIP-HOP ARTIST

Drake

VIDEO OF THE YEAR

Pharrell, “Happy”

MALE R&B POP ARTIST

Pharrell

LIFETIME ACHIVEMENT AWARD

Lionel Richie

GROUP

Young Money

VIEWERS’ CHOICE

August Alsina

HUMANITARIAN AWARD

Myrlie Evers-Williams and all Civil Rights Movement heroes

FEMALE HIP-HOP ARTIST

Nicki Minaj

FANDEMONIUM AWARD

Beyonce

FEMALE R&B POP ARTIST

Beyonce

COLLABORATION

Beyoncé feat. Jay Z, “Drunk in Love”

VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR

Hype Williams

ACTOR

Chiwetel Ejiofor

YOUNGSTARS

Keke Palmer

MOVIE

12 Years A Slave

CENTRIC

Jhene Aiko, “The Worst”

SUBWAY SPORTSMAN

Kevin Durant

SUBWAY SPORTSWOMAN

Serena Williams

INTERNATIONAL ACT: AFRICA

Davido (Nigeria)

INTERNATIONAL ACT: UK

Krept & Konan

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s